Asilimia 84 wakabiliwa na upungufu wa chakula
Utafiti umebaini kuwa asilimia 84 ya wananchi wanaoishi vijijini nchini Tanzania wanakabiriwa na uhaba mkubwa wa chakula ikilinganishwa na asilimia 64 ya wakazi wa mijini walioripoti kuwepo kwa tatizo hilo la chakula