Mawakala 8 CHADEMA wakamatwa Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini Mh. John Heche amesema jumla ya mawakala 8 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wamekamatwa kwenye uchaguzi mdogo wa kata ya Nyabubinza wilayani Maswa. Read more about Mawakala 8 CHADEMA wakamatwa