Guardiola akiri maajabu Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema timu yake imeonesha ushindani wa ajabu wakati ikihangaika kusawazisha na kuongeza bao la ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini England jana dhidi ya Huddersfield. Read more about Guardiola akiri maajabu