Aslay hana msaada kwangu - Beka Flavour Msanii Beka Flavour ambaye ni moja ya zao la Yamoto Band, amesema kwamba baada ya kundi hilo kusambaratika hapati msaada wowote kutoka kwa wenzake kama ilivyokuwa awali. Read more about Aslay hana msaada kwangu - Beka Flavour