Kikwete akerwa uchaguzi mdogo

Mbunge wa jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Mh. Ridhiwani Kikwete ameeleza kutofurahishwa na vitendo vya uvunjivu wa amani na migawanyiko, vilivyojitokeza katika uchaguzi mdogo wa madiwani nchini uliofanyika jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS