Okwi hatoichezea Simba Mshambuliaji wa klabu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Lipuli FC kwenye mchezo wa ligi kuu leo jioni. Read more about Okwi hatoichezea Simba