Kikwete atoa neno kuhusu Rais Magufuli

Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwezesha elimu bure.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS