Akamatwa kwa rushwa uchaguzi mdogo
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema jeshi la polisi limejipanga vizuri na limeimarisha ulinzi katika vituo vyote 24 vya kupigia kura kwenye uchaguzi wa udiwani kata ya Chipogoro wilayani Mpwapwa.