Nyota wawili wa Azam FC kurejea Nyota wawili wa klabu ya Azam FC, Shaaban Idd na Joseph Kimwaga, waliokuwa majeruhi wanatarajiwa kurejea dimbani Januari mwakani wakati timu hiyo itakuwa inashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar. Read more about Nyota wawili wa Azam FC kurejea