Ajali yaua Kagera Basi la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika eneo la Nkwenda Wilayani Kyerwa mkoani Kagera, na kusababisha kifo cha kondakta wa basi hilo. Read more about Ajali yaua Kagera