Wananchi wasimamisha maendeleo

Picha haihusiani na habari, imetumika kama mfano wa shughuli za maendeleo zinazoweza kukwama.

Wananchi wa kijiji cha Mkono wa mara Kata ya Mkambarani Wilaya na mkoa wa Morogoro, kwa pamoja wameazimia kusitishwa kwa shughuli zote za kiserikali ngazi ya kijiji hicho, ikiwemo ukusanyaji wa kodi mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS