Vanessa Mdee afunguka kuvunjwa moyo
Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amefunguka na kudai anamshukuru Mungu kwa kupokelewa vizuri albamu ya 'Money Monday' mpaka sasa japokuwa kuna baadhi ya watu wanataka kumvunja moyo.

