Waziri Mkuu awapa neno kina Dkt. Slaa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mabalozi watumie mbinu za kidiplomasia kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali, ikiwemo ya utalii na kutafuta masoko ya bidhaa zinazozalishwa nchini Read more about Waziri Mkuu awapa neno kina Dkt. Slaa