Theluji zampa mapumziko Ronaldo Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kupata mapumziko ya siku moja baaada ya timu yake kushindwa kufanya mazoezi siku ya leo kutokana na barafu kutanda jijini Madrid. Read more about Theluji zampa mapumziko Ronaldo