Rais Magufuli atumbua, kisa kikokotoo

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dkt. Irene Isaka.

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Dkt. Irene Isaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS