CCM yatangaza kuwatoa kifungoni vigogo wake wanne

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally

Chama cha Mapinduzi CCM kimewafungulia baadhi ya makada wake waliokuwa ni wenyeviti wa mikoa wa chama hicho ambao walifungiwa kwa tuhuma za kukisaliti chama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS