Wanaume Geita kuwaingilia wenza wao kinguvu

Picha haiuhusiani na tukio.

Wanaume  mkoani Geita wamedaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya familia zao kutokana na tabia ya kuwaingilia kwa nguvu wenza wao wakati wanapohitaji tendo la ndoa pasipo kujali kufanya hivyo ni kutenda jinai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS