Lowassa ajibu madai ya kupongezwa na CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa amejibu madai ya kuonekana kiongozi pekee wa upinzani ambaye amekuwa akisifiwa mara kwa mara na viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na serikali hali ambayo imeonekana kuzua sintofahamu kwa wadau wa siasa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS