Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mh. Benjamini Mkapa kufuatia kifo cha Makamu wa chuo hicho Prof. Egid Beatus Mubofu.