Majaliwa akutana na mawaziri kwenye tenki la maji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye eneo la tenki la maji la kutolea huduma katika ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba badala ya ukumbi wa hazina kama alivyokuwa amepanga awali.

