Ben Pol akutana na Memphis Depay Ben Pol akiwa na Memphis Depay Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ben Pol amekutana uso kwa uso na mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye hivi sasa anachezea klabu ya Olympique Lyon, Memphis Depay. Read more about Ben Pol akutana na Memphis Depay