Waziri amfananisha Rais Magufuli na Mwl. Nyerere
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amesema namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli anavyoongea na kutenda ni sawa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

