Serikali yatoa onyo kwa wanaotumia dini kisiasa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaonya baadhi ya watu wanaojipenyeza kupitia mgongo wa taasisi za dini nchini kwa kujifanya wahubiri kumbe ni wachochezi na wanaingiza masuala ya kisiasa kwenye dini.