Boban alamba mkataba Yanga

Kushoto ni Haruna Moshi akisaini mkataba mbele ya Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika.

Kwa mujibu wa ripoti, klabu ya Yanga imemalizana na kiungo wa  zamani wa Simba ambaye anakipiga na African Lyon, Haruna Moshi 'Boban' kwa kumpa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo hadi mwisho wa msimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS