Serikali kuanza kupima DNA Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Hamimu Gwiyama Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Hamimu Gwiyama amesema serikali wilayani humo, itaanza kupima vinasaba kati ya mtoto na mwanamume aliyemuoa mwanafunzi ili kubaini kama ndiye baba halisi. Read more about Serikali kuanza kupima DNA