Msanii auawa na mpenzi wake Msanii wa vichekesho nchini Kenya ambaye ni maarufu kwenye igizo la 'Vioja Mahakamani', Jamal Nasor, ameuawa baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Grace Kananu. Read more about Msanii auawa na mpenzi wake