Viongozi wapewa ujumbe mzito siku ya Krismasi Mchungaji Philipo Mafuja Viongozi wa serikali nchini wametakiwa kuzingatia masuala ya utoaji haki kwa wananchi ili kuhakikisha wanajenga upendo baina yao na wananchi hali itakayofanya kuwa na mahusiano mazuri. Read more about Viongozi wapewa ujumbe mzito siku ya Krismasi