Zahera atoa masharti, yasipotimizwa anagoma
Kocha mkuu wa vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara, Mwinyi Zahera ametoa masharti kwa shirikisho la soka nchini TFF, kuwa libadilishe ratiba ya baadhi ya michezo ili kuweza kuwapa nafasi wachezaji kupumzika.