"Tunashughulikia madeni halali" - JPM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amebainisha kwamba kwa sasa serikali inaendelea kushughulikia madeni halali yakiwepo ya walimu ambayo tayari wameshaanza kulipwa.