Watu wa Kilimajaro waitwa nyumbani Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, mama Anna Mghwira amewataka wananchi wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro kwenda mkoani humo kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, kwani kuna kitu maalum amewaandalia. Read more about Watu wa Kilimajaro waitwa nyumbani