Yanga na Simba kupoza machungu pamoja leo Wachezaji wa Simba kushoto na Yanga kulia. Klabu za soka za Yanga na Simba zote zimerejea Dar es salaam usiku wa kuamkia leo, Januari 21, 2019, zikitokea kwenye mechi zake za uganini ambapo zote ziliambulia kichapo. Read more about Yanga na Simba kupoza machungu pamoja leo