Veteran wa Vita ya Dunia aomba msaada, fahamu kisa
Veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Mzee Michael Mwita, ambaye ni Mstaafu wa JWTZ, ameiomba Serikali na wasamalia wema msaada wa kujengewa nyumba, baada ya nyumba yake aliyo kuwa akiishi kuteketea kwa moto mwishoni mwa mwaka jana, na kumuacha bila makazi yeye na familia yake.