Hali ya Lowassa baada ya kupata taarifa ya msiba

Edrward Lowassa na mdogo wake ambaye ni marehemu Bernard Lowassa

Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS