Kilichotokea kwenye mazishi ya aliyeuawa na Polisi
Jumanne ya Juni 9, 2020, ilikuwa ni siku maalum kwa wakazi wa Marekani hasa wale weusi baada ya kumuaga na kuzikwa kwa raia George Floyd ambaye ameuawa mikononi mwa Polisi Derek Chauvin mwishoni mwa mwezi Mei.

