Wabunge 69 wa CHADEMA mikononi mwa TAKUKURU
Jumla ya wabunge 69 wa CHADEMA wakiwemo waliohama chama hicho, wameitwa na TAKUKURU makao makuu kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya fedha ambazo walikuwa wakikatwa wabunge wote, ambapo hivi karibuni matumizi ya fedha hizo yalilalamikiwa na baadhi ya wabunge.

