Waziri Ndalichako apiga marufuku 'spirit' shuleni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amewaonya wamiliki wa shule ambazo zinatumia janga la Corona kuwaumiza wazazi kwa kuweka michango isiyo na ulazima kwa wanafunzi pindi watakaporejea shuleni.