Mbowe apiga marufuku kwenda Bungeni
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ametoa maelekezo kwa Wabunge wote wa chama chake kwamba, wasihudhurie tena mikutano ya Bunge na wajiweke Karantini kwa siku 14, pamoja na kutofika majimboni kwao kwa sasa hadi pale watakapothibitika hawana maambukizi.