JPM awapongeza wafanyakazi, atoa wito kwa waajiri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli, amewapongeza wafanyakazi wote nchini na kuwataka kuendelea kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa na kuwataka waajiri kutowanyanyasa wafanyakazi wao kipindi hiki cha Corona.