Nandy atangaza watu anaowataka kwenye ndoa yake

Wasanii wa BongoFleva Billnass na Nandy

Msanii Nandy The African Princess amesema, siku ya ndoa yake na Billnass watahitaji idadi ya wahudhuriaji 300 au 400, kwa sababu hataki kufunga ndoa ya watu kumi kisa kuogopa Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS