Tani laki 2 za miwa ya wakulima kukosa soko Baadhi ya viongozi wa vyama vya ushirika Tani laki mbili za miwa kutoka kwa wakulima wilayani Kilombero mkoani Morogoro zinatarajiwa kubaki katika msimu wa mwaka 2020/2021 wa uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda cha sukari kilombero. Read more about Tani laki 2 za miwa ya wakulima kukosa soko