Majambazi wawili wauawa kwa kupigwa risasi Dar Kamanda Mambosasa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limekamata Bastola mbili na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Read more about Majambazi wawili wauawa kwa kupigwa risasi Dar