Nyalandu akumbuka alivyosafiri na Mbowe Yerusalemu
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, ameeleza ni kwa namna gani anamfahamu Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, ambapo amesimulia pia ni kwa namna gani alimuomba wasafiri wote kwenda katika maeneo ya Wapalestina na Waisrael.

