Pioli aongeza mkataba wa miaka 2 Milan Kocha wa AC Milan Stefano Pioli Klabu ya soka ya AC Milan imetangaza Jumanne hii kwamba Kocha Stefano Pioli amesaini nyongeza ya mkataba wa miaka miwili kwenye kandarasi yake, kuendelea kubaki klabuni hapo hadi Juni 2022. Read more about Pioli aongeza mkataba wa miaka 2 Milan