TID atamani kurudiana na Irene Uwoya Msanii wa BongoFleva TID, na msanii wa filamu Irene Uwoya Kupitia EATV & EA Radio Digital, tunakupa historia ya kukurudisha miaka ya nyuma tangu ulipotoka wimbo wa nilikataa ya TID na Q Chief "Top Band", ambayo walimshirikisha Mr Blue. Read more about TID atamani kurudiana na Irene Uwoya