Beki kisiki azungumzia kuhusu kusajiliwa na Yanga Beki kisiki wa Coastal Union, Bakari Ndondo Mwamnyeto amezungumzia kuhusu kutaka kusajiliwa na klabu ya Yanga kuelekea dirisha kubwa la usajili la msimu ujao. Read more about Beki kisiki azungumzia kuhusu kusajiliwa na Yanga