Mtendaji Mbaroni kwa kupapasa matiti ya mtoto
Mtendaji wa Mtaa wa Kyakailabwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba akikabiliwa na mashtaka mawili ya kumtorosha mtoto mwenye umri wa miaka 14 na kumfanyia shambulio la aibu la kumpapasa matiti.