Calisah afikishwa polisi, Amber Lulu ahusika
Mwanamtindo Calisah anadaiwa kufikishwa kituo cha polisi cha Urafiki na kutolewa dhamana na msanii Amber Lulu kwa kosa la kurudisha gari aina ya Vitz ambalo alikuwa amekodi likiwa lina matatizo ya vioo vya pembeni, mafuta na kushindwa kulipia pesa.