Mkude arejea, mahesabu ya ubingwa Simba yalivyo

Jonas Mkude (kushoto), Rais Magufuli akikabidhi kombe la ligi masimu 2017/18 (kulia)

Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kimewasili salama jijini Mbeya tayari kwa matayarisho kwa michezo miwili ya Ligi Kuu ya Kandanda Tanzania bara VPL dhidi ya watakaokua wenyeji wao Mbeya City na Tanzania Prisons.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS