ACT Wazalendo wadai Zitto amedhalilishwa
Katibu wa Haki za Binadamu wa ACT Wazalendo Mbarala Maharagande, amesema kuwa kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe amesikitishwa na kitendo cha Polisi kumtoa yeye na wenzake Kilwa na kumpeleka Lindi akiwa kwenye gari la wazi nyakati za usiku kitendo ambacho anadai ni cha udhalilishaji.