"Movie ya NSYUKA nimeigiza Mimi sio Mpoto"-Mohamed Picha muigizaji wa NSYUKA Mohammed Muigizaji wa 'NSYUKA' Mohammed anasema yeye ndio muhusika mkuu wa movie hiyo na sio mwanamuziki @mrishompoto kama ambavyo mashabiki wengi wanavyodhani. Read more about "Movie ya NSYUKA nimeigiza Mimi sio Mpoto"-Mohamed